SERIKALI YA WANAFUNZI DARUSO-DUCE INATEGEMEA KUFANYA SHEREHE ZA HITIMISHO LA ZOEZI LA DECENT WEARING CAMPAIGN MNAMO TAR 8/05/2015 UKUMBI WA LTHC (DUCE)
Mashindano haya yatakuwa yamedumu kwa mda wa wiki tatu mpaka kufikia tar hiyo ya mwisho, kama mwana DUCE unaombwa kujitokeza kushuhudia nani atakuwa mshindi kwa mwaka huu, majaji wapo kazini kila siku kuhakikisha tunapata mwalimu anae onekana kuvaa mavazi kinadhifu kama mwalimu.
Lengo kuu la campaign hii nikutoa elimu kwa jamii ya DUCE na kwa taifa zima umhimu wakuvaa mavazi ya heshima na nadhifu (kwa watu wote sio walimu pekee)
mpaka sasa tunauhakika wakuwa na watu maaarufu watakao shiriki nasisi katika sherehe hii kama mtu maarufu wa ubunifu na ushonaji wa nguo Africa Ndg SHERIA. nawengine mawasiliano bado yanaendelea, Vituo vya Television pia tumeviomba kuhudhuria kwa ajiri ya tukio hilo kuanzia saa kumi nambili mpaka saa tano usiku.
WASHIRIKI WA DECENT WEARING CAMPAIGN WAKIONEKANA KWENYE PICHA
KAMATI YA MASHINDANO PICHANI.
JUDGE UPANDE WA KUSHOTO NA NDIYE ALIYEKUWA MSINDI WA DECENT MWAKA JANA. AKIFATIWA NA WAZRI WA FEDHA, VICE PRESIDENT NA WAZR WA MICHEZO KULIA.
Kamati inaomba maombi ya wasanii ambao watapenda kupa4m siku hiyo ya tar 8 may 2015.
wasiliana nasi.
MATONGO- 0752132353
EDOM-=0712442736
festsmatongo@yahoo.co.uk
0 comments:
Post a Comment