Friday, 20 March 2015

HAPATOSHI NDANI YA DUCE KUANZIA SAA KUMI, ZAIDI YA MWARUBAJA INASEMEKANA






Ninafasi ya pekee kwa wana DUCE kuweza kutazama nakushuhudia uzinduzi wa kikundi kipya cha DUCE ARTS GROUP ambacho kwasasa kimeweza kukamilisha usajiri wake kutoka BASATA na kwa sasa inaweza kutangaza kazi zake kitaifa na kimataifa bila shida.

Aidha, Mwenyekiti wa kikundi Bwana GOZBERT ameweza kuiambia blog kuwa tamasha na uzinduzi huo utaambatana na maonesho mbali mbali, aliongoza kwa kusema, siku hii ya leo sio ya kukoka kabisa kwa mtu yeyote.

 Kwa kuongeza baadhi ya wasanii na wahasisi wa kikundi hicho wamezidi kutoa wito kwa wapenzi na mashabiki kujitokeza kwa wingi bila kukosa.

 

0 comments:

Post a Comment