Monday, 16 March 2015

MABIBO HOSTEL YAUNGUA MOTO


 Nihabari za kusikitisha ambazo zimetufikia hivi punde mda wa saa  tatu  leo tar 16/03/2015.
                         MABIBO HOSTEL BLOC B FLOOR YA 3 
Habari hizi zimedhibitishwa na Wazri wa kamazi DARUSO-DUCE mh. Sagati mafwimbo.
Mh. kanuth Ekarist kiongozi wa hapo hostel kwa wakazi wa mabibo waishio Hostel hzo pia kakiri kutokea kwa tukio hilo.
chanzo cha moto hakichadhibitishwa na uharibifu zaidi uliojitokeza haujadhibitishwa. na kwa sasa wazr kutoka DARUSO-DUCE yupo safarini kuelekea sehemu ya tukio.






Picha na Mkazi wa mabibo

0 comments:

Post a Comment