TECHNICIAN IN CHARGE

We offer technological advices repaires and installation of softwares + windows at least price of Tsh: 10,000/= tunauza flash,memory card etc tupigie+255752132353

GUEST HOUSE

We are at MWANZA-TANZANIA offering hotels services at affordable price call +255 737 210 743 for booking

MUSIC FOR HIRE

Tunatoa huduma yakukodisha mziki katika sherehe mbalimbali jijini Mwanza kwa bei nafuu kabisa wasiliana nasi +255752778288

Enterpreneurship skills

Matongo blog team offer some advices and design business plans for young business person.

AT UNIVERSITY

College`s students organization leaders 2014/2015 ,

Showing posts with label Michezo. Show all posts
Showing posts with label Michezo. Show all posts

Wednesday, 31 December 2014

UTAMADUNI WAKISUKUMA (SUKUMA CULTURE) -MWANZA¬ TANZANIA


Katika jamii za wasukuma Ngoma nikitu cha kawaida hasa wakati wa sikukuu na siku za masoko
katika jamii nyingi za wasukuma amani na furaha inapatikana kwa kushabikia ngoma hizi hata wakati mwingne watu hushndwa kuelewana kwa kigezo tu cha mwngne kutokushabikia upande wake.
 Utamaduni wa kuchezea nyoka kwa wasukuma nikawaida na hapa nyoka hutolewa meno kila mara kuhakikisha kuwa siku ya kazi(ngoma) anakuwa hana meno kumuwezesha kungata mtu!
" utaona kama ajabu lakn kwa jamii ya wasukuma nikawaida hii!"
 Ngoma hupigwa kwa usitadi wahali ya juu na nyimbo zake husikika kwa uzuri kabsa, hutajutia kusikiliza nyimbo zakisukuma.
Huyu ndiye anaekuwa kiongozi katika kundi (NENGI) huimba nakucheza pia, wengine wote humsikiliza yeye ktk shuguri nzima ya  maonesho na mchezo

Kwa mahitaji ya nyimbo na video za kisukuma
byofya hapa video hii hapa

Friday, 27 June 2014

OBAMA ASHUHUDIA MAREKANI IKIFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA AKIWA KWENYE NDEGE YAKE





Akiwa angani, Obama akitazama mechi ya mwisho ya Marekani dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake.

Obama akitazama mechi ya Marekani na kushuhudia taifa lake likifuzu hatua ya 16.
Mashabiki wa timu ya taifa ya Marekani wakishangilia timu yao wakiwa kote Marekani na Brazil.

RAIS wa Marekani, Barack Obama ameonesha jinsi gani kombe la dunia ni muhimu kwa taifa lake baada ya kuamua kutazama mchezo wa mwisho wa kundi G dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake binafsi.

Obama alikuwa anasafiri kwa ndege kutoka Maryland kwenda Minnesota wakati Marekani ikicheza mchezo muhimu na alihakikisha hakosi mchezo huo kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye luninga iliyopo kwenye ndege yake.