Katika jamii za wasukuma Ngoma nikitu cha kawaida hasa wakati wa sikukuu na siku za masoko
katika jamii nyingi za wasukuma amani na furaha inapatikana kwa kushabikia ngoma hizi hata wakati mwingne watu hushndwa kuelewana kwa kigezo tu cha mwngne kutokushabikia upande wake.
Utamaduni wa kuchezea nyoka kwa wasukuma nikawaida na hapa nyoka hutolewa meno kila mara kuhakikisha kuwa siku ya kazi(ngoma) anakuwa hana meno kumuwezesha kungata mtu!
" utaona kama ajabu lakn kwa jamii ya wasukuma nikawaida hii!"
Ngoma hupigwa kwa usitadi wahali ya juu na nyimbo zake husikika kwa uzuri kabsa, hutajutia kusikiliza nyimbo zakisukuma.
Huyu ndiye anaekuwa kiongozi katika kundi (NENGI) huimba nakucheza pia, wengine wote humsikiliza yeye ktk shuguri nzima ya maonesho na mchezo
byofya hapa video hii hapa
0 comments:
Post a Comment