Akiwa angani, Obama akitazama mechi ya mwisho ya Marekani dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake.
Obama akitazama mechi ya Marekani na kushuhudia taifa lake likifuzu hatua ya 16.
Mashabiki wa timu ya taifa ya Marekani wakishangilia timu yao wakiwa kote Marekani na Brazil.
RAIS wa Marekani, Barack Obama ameonesha jinsi gani kombe la dunia ni muhimu kwa taifa lake baada ya kuamua kutazama mchezo wa mwisho wa kundi G dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake binafsi.
Obama alikuwa anasafiri kwa ndege kutoka Maryland kwenda Minnesota wakati Marekani ikicheza mchezo muhimu na alihakikisha hakosi mchezo huo kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye luninga iliyopo kwenye ndege yake.
0 comments:
Post a Comment