Tuesday, 24 June 2014

UPANDAJI MITI UDSM-DUCE NA VIONGOZI WA DARUSO.tar 20/06/2014

Viongozi wa DARUSO-DUCE 2014/2015  wameungana na mh Raisi wa DARUSO-DUCE  Mr MLONGANILE DANIEL pamoja na makamu wake miss JOSHUA HAPPINES bila kukosa mh waziri mkuu mr ABDUL ALLY  na  waheshimiwa wengine wa wizara mbalimbali katika Serikali ya DARUSO-DUCE 2014/2015
Aidha mh. waziri wa mazingira mh.masawe na naibu waziri philimon enelen wali shukru kwa ushrikiano walio onesha waheshimiwa  mawaziri katika zoezi hilo

mkurugenzi wa blog hii mh zacharia festo waziri wa Fedha na mipango aliongeza nakusema kuwa upandaji miti huo ni wamanufaa kwa wachuo wote na kwa taifa zima.
environmental protection is possible.








0 comments:

Post a Comment