Saturday, 28 June 2014

UGAWAJI WA VIFAA VYA TP (TEACHING PRACTICES) WAANZA DUCE

kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa waziri wa Elimu serikali ya DARUSO-DUCE 2014/2015 Mh JORAMU, kesho zoezi la ugawaji wa vifaa vya TP utaanza mnamo saa tatu asubuhi ambapo mwaka wakwanza wataanza kwa kupata seminar fupi na badae mnamo saa sita kasorobo ugawaji wa vifaa (mf.PEN,WRITTING PARDS, PORTIFOLIO, na lesson plan) utaendelea.

Hivo basi wewe kama mwaka wa pili na mwaka wa kwanza unapaswa kuwepo katika eneo la tukio kuepusha usumbufu usiokuwa wa lazima;

Napenda kuwapa hongera kwa walimu wenzangu ambao mitihani yao ya semister hii ya pili wamemaliza salaama.... tumushukuru mungu kwani yeye ndie aliye fanya yote
we did our best let God do the rest; na kwa wale ambao bado tunaendelea na mitihani maandalizi meme ktk mitihani itakayo endelea kwasiku ya j3 mpaka ijumaa.
Pia niwatakie TP njeme walimu wenzangu; kupumzika kwema mwaka watatu!
NB: Tuwe mawakili wema tuendako , tukafanye kazi kwa bidii kuokoa Taifa letu!
Imetolewa na mkurugenzi wa blog hii
                                                              zacharia festo

0 comments:

Post a Comment