Monday, 23 February 2015

PATA KUJUA FAIDA YA DAFU.




               FAIDA YA DAFU WAIJUA WEWE? HII HAPA!


Masanja yanamsaidia katika shughuli zake za ukandamizaji akiwa studio.  
Ukweli ni kwamba maji ya madafu ni mazuri sana kiafya yana uwingi wa madini ya potassium,sodiam,iron,manganise na zinc ambayo yana kazi mbalimbali mwilini.Pia yana kiasi kidogo cha vitamin C pia chanzo kikubwa cha vitamin B complex.
                           
Steve Nyerere yanamsaidia akiwa katika kazi yake ya uigizaji.

Pia kama kuna mgonjwa wa kuharisha anaweza kunywa maji ya madafu ili kumrudishia maji mwilini na sukari yake ni ya asili haina madhara.Protin nayo inapatikana kwenye dafu pia unaweza kuweka barafu kama unataka kuyanywa yakiwa na ubaridi.Maji ya madafu hayana colestrol wala fat.
Enjoy maji ya dafu kwa raha zako na Afya yako!!

0 comments:

Post a Comment