Friday, 20 February 2015

RESEARCH MWAKA WA 3 IMEKAMILIKA NA LIKIZO IMEANZA

                    RESEARCH /FIELD STUDY TO END TODAY
Tangu tar 16 februray 2015 wanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu wamekuwa katika wakati wa kukusanya taaarifa (DATA) kutoka maeneo ya Machimboni kunduchi-dar es salaam. Ambapo walikuwa watu 303 na walikuwa wamegawanyika katika makundi mbali mbali ambapo kulikuwa na watu waliokuwa wakijihusisha na utafiti wa..........

1. PFRA (participatory forest resource resource assessment)
2. Socio-economic
3. Land degradation
Ukusanyaji wa taarifa umekamilika leo na kilichobaki ni uandikaji wa report.
Aidha wakufunzi wakiwa wanaongea na wanafunzi wanafunzi walitoa shukrani kwa kile ambacho wameweza kujifunza katika eneo la utafiti. Uchunguzi umeonesha kuwa Field research imekuwa ya manufaa sana kwa wanafunzi hao.
MAENEO YA BAHARI (KUNDUCHI BEACH) HAPA KWENYE PICHA NI MMOJA YA WATU WALIOKUWA WAKIJIHUSISHA NA UTAFITI KWA WAVUVI NIMENGI WAMEWEZA KUJIFUNZA.

HII NI ENEO MOJA KATI YA MAENEO AMBAPO WANAFUNZI WALIWEZA KUFIKA KWA AJIRI YA FIELD STUDY.
HAPA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAENDELEA NA KAZI YA KUPONDA KOKOTO PAMOJA NA KUCHIMBA MCHANGA.

HIKI NIKIKUNDI CHA WATAFITI (RESEARCHERS) AMBAO WALIKUWA WAKIJIHUSISHA NA UTAFIKI WA MMOMONYOKO WA ARDHI YAAANI (LAND DEGRADATION) 

0 comments:

Post a Comment