Tuesday 24 February 2015

REAKING NEWZ KUTOKA IRINGA- PANUKA MJI MZIMA











Ni baada ya Polisi Kuuwa Raia
Leo mapema polisi walivamia eneo la kilabuni na kuanza kupiga kila raia na kusababisa kifo cha huyo mama muuza Pombe za kienyeji. Kosa ni kufungua kilabu cha Pombe kabla ya muda ulioruhusiwa kisheria.

Wananchi wamechoma matairi barabara Kuu hakuna gari inayopita, Polisi bado hawajafika waliopo wamekimbia baada ya kuzidiwa na wananchi.Sasa hivi wananchi wanaandamana kwenda kuchoma moto kituo cha polisi.

Updated....
Gari tatu zilizosheheni FFU zimewasili mabomu yanapigwa mfululizo, sasa hivi wanasafisha barabara kwa kuzima moto na kutoa matairi njiani.
Wananchi Walioenda kituoni wamechoma moto matairi na magari mabovu yaliyopakiwa kituoni.

sources https://www.facebook.com/eliaza.w.mkuna?fref=nf

0 comments:

Post a Comment