Wednesday, 13 May 2015

JE WAJUA KIONGOZI BORA WA DARUSO-DUCE MWAKA 2014/2015?

             ATUNUKIWA CHETI CHA UONGOZI BORA DARUS-DUCE 2014/2015
tukio hili lilifanyika DUCE  board room mida ya saa sita mchana tar 8/05/2015
Ambapo kiongozi Mh. Chana emmanuel alitunukiwa Cheti cha uongozi bora kuacha wengi wakishangaa utendaji wake kazi, alisitahili kwani alichapa kazi kwa bidii na kujituma katka kutekeleza majukumu yake.

Viongozi wengine waliopewa ni pamoja na Mh. Raisi, PM, wazri wa mikopo , wazri wa external relation Mh. NYAGAWA NAFTARI, na wazri wa Fedha Mh. ZAHARIA FESTO (Matongo)

Siku ilifana saana Mc NDIMBO aliongeza kusema "If you lead and people are not following you then your just walking"


  
Mh. CHANA EMMANUEL (ailyekuwa NAIBU WAZIRI WIZARA YA ELIMU) AKIPOKEA       CHETI CHA UONGZI BORA.
             VIONGOZI WA DARUSO-DUCE 2014/2015 NA WALE WAPYA WA 2015/2016





0 comments:

Post a Comment