Kwa Tanzania ya leo na dunia kwa ujumla laptop imekuwa ni kitu
ambacho sio ufahari tena ila matumizi ya kimaendelo. Mchakato halisi wa
kujua ni vitu gani vya kuzingatia kwenye kununua laptop unachukua muda
kufanya utafiti.
Katika makala hii, Nitatoa vipengele tofauti vya laptop kwa watumiahi tofauti. Tutapitia pia CPU, hard-drive, na networking options nyingine.
Chini hapa ni mapendekezo tofauti ambayo yatakufanya wewe ujue ni laptop ipi itakufaa. Nimeweka iwe as simple as possible ili hata mtu asiye na ujuzi sana kwenye computers aelewe. Kuna nafasi kubwa kwamba, utaangukia kati ya vipengele viwili, au zaidi, kwahiyo zingatia kwa umakini utakuwa unatumia laptop kufanyia nini
Mwanafunzi | Mfanyabiashara | Photographer na/au videographer | Mcheza Games | Mtumiaji wa Nyumbani
Mwanafunzi
Mambo makuu kwa mwanafuzi ni bei ya kubebeka kwa laptop yenyewe. Laptop inayoweza kubebeka kutoka darasa mpaka darasa, au darasani mpaka kwa OKONKO muuza maji na chipsi, ndio cha msingi , kwa hiyo kwa wanafunzi wengi huwa ni Netbooks ambazo hazina gharama kubwa, ni ndogo, inatumia nishati ndogo na ni around tshs 550,000-700,00. Ubaya wake ni kwamba hizi huwa na screen ndogo na hutumia single-core CPUs ambazo zimepunguzwa nguvu.
Option nyingine ni laptop yenye inchi 13, nyembamba, ambayo portability yake (uwezo wa kubebeka) ni mzuri, na inapendeza zaidi wa kuandikia au kutumia ukiwa umekaa sehemu tulivu na sio haraka haraka. CPU zake ni dual-core na mara nyingi huja na optical drives. Mfano mzuri ni MacBook za Apple zenye inchi 13.
Nini Cha Kuzingatia: At least 1GB ya RAM; 160GB au zaidi za HDD; inchi 13 au chini ya hapo.
Mfanyabiashara
Wale ambao mara nyingi huwa barabarani huitaji mashine iliyo faster, inayodumu na charge na zaidi ya yote
ThinkPad za Levono na Latitude za Dell ni mifano miwili mizuri ya laptop zilizotengenezwa zikimlenga mfanyabiashara (au kwa lugha rahisi, anayesafiri mara kwa mara) . Bidhaa zote mbili zina security nzuri na imara, pia hardware za in-built software zake zinafanya kazi vizuri na OS (Operating System) yoyote e.g windows, Ubuntu, etc (lakini sio Mac, please).
Ya kuzingatia: 2GB mpaka 4GB za RAM; 160GB au zaidi kwa Hard Disk; 12 mpaka 15-inch display; Windows Vista Professional au Windows 7 Professional; mobile broadband modem.
Mpigapicha na/au Videographer
Wachezaji wa games sio watu pekee wanaohitaji processor yenye nguvu, graphics za ukweli na hard disk space kuuuubwa. Kwa wale ambao wanatengeneza high-definition video or high-resolution photographs huitaji mashine inayojitosheleza hasa! Nimekuwa mpenzi mkubwa sana wa video producing. Miaka ya nyuma nikaanza kujifunza After Effects, FinalCut, etc. Ila kilichosumbua ilikuwa ni mashine. PC yangu RAM 1GB, hard disk 80 GB na vikolombwezo vingine vya kimaskini.
Nikaishia kwenye Windows Movie Maker
MacBook Pro inch 15 mpaka 17 zile za Apple ndio maarufu na nzuri kwa kazi hii (expensive though). MacBook ni nzuri pia kwa sababu software ya Final Cut, ambayo ndio maarufu DUNIANI kote kwa video producing, inapatikana kwenye Mac pekee. (Adobe’s Photoshop inapatikana kwenye platform tofauti tofauti, hivyo usijali).
Cha msingi hakikisha SANA SANA SANA kuwa una RAM kubwa…….. 8GB za RAM ndio penyewe. Pia hard disk ya 500GB ingependeza sana, kwa sababu redering in real-time inahitaji RAM/processor faster na inakula space hasa.
Cha kuzingatia: 4GB-8GB of RAM; Hard Disk ya 320GB yenye uwezo wa 7,200rpm, yaani 7,2000r per minute (usijali kama huelewi inamaanisha nini, wewe mwambie muuzaji hivyo ukiwa na uso mkavu..bhaaaas); 17-inch or larger display.
Wachezaji Games
Gamers wa siku hizi wana raha sana. Mimi nakumbuka udogozi games zangu zilikuwa tatu tu; Bow & Arrow, Dangerous Dave, na Scrabble out………na Paint, kuchora chora. Hard disk yangu ilikuwa ina ukubwa wa MB sijui 50 au 100 na RAM ilimukuwa 2MB. Nilikuwa natumia windows 98 (ambayo baada ya hivyo ndio ikaja windows 2000, windows XP, Windows Vista, Windows 7, na week iliyopita imeachiwa windows 8). Hiyo ndio ilikuwa mashine yangu, mitaa ya Tegeta Masaiti. Games za sasa hivi zinafika mpaka 20GB na hiyo setup tu! Mambo yanaanza kuwa mengi kama video card, sound drivers, na makolombwezo kibao! Kama wewe ni gamer, basi utahitaji desktop computers, zenye flexible upgradeability, faster components, na yenye uwezo wa kupoa haraka.Ila kwa siku za hivi karibuni, laptops zinazowafaa gamers zina-hit sana.
Ningependekeza Core 2 Quad za Intel na Core i7 CPUs kwa 3D gaming, kwa sababu zina GPU nzuri ,kama GeForce N260 za Nvidia.
Ya kuzingatia: 4GB mpaka 8GB za RAM; 320GB au zaidi kwa Hard Disk; display ya inchi 17 au zaidi; bila kusahau the most important, discrete graphics GPU.
Mtumiaji wa Nyumbani
Mtu yoyote ambaye hayupo kwenye vipengele nilivyovitaja hapo juu anafiti hapa.Kuanzia kuangalia kipindi cha Mkasi kilichopita, kutuma email, kuchat facebook, pitia post za jamiiforums, tembelea Tanganyikan Blog, na vitu ningine kibao vinafanywa sana na mtumiaji wa aina hii.Mtumiaji huyu huitaji desktop machine ambazo sio movable (ok zinabebeka but you know what I mean)Mashine hizi hutengenezwa kwa asili ya kukaa sehemu moja, ile jikoni, sebuleni, chumbani, etc.
Zile laptop za inchi 15 bado ni maarufu ingawa zile za inchi 14 na 16 zinakuja juu siku hizi. Kila mtengenezaji wa PC hutofautiana na mwingine na huzidiana kila mmoja katika sehemu tofauti. Usikimbilie kununua mashine kuuubwa na kutumia hela nyingi when all you needed was a simple one!
Ya kuzingatia: 2GB mpaka 4GB za RAM; 250GB au zaidi kwenye Hard Disk; Display ya inchi 14-16; DVD burning optical drive (kwa asili ya ku-burn CD).
hayo ndio ya kuzingatia uendapo kukunua PC. Kuwa makini na kujua ni kundi lipi size yako, it’s the key
tunaweza kukutafutia pia
festsmatongo@hotmail.com

0 comments:
Post a Comment