Thursday, 25 September 2014

HARAKATI ZA UTAFUTAJI WA HOSTEL-DARUSO-DUCE

DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION

 
The office with the cooperation with DEAN of students have managed to secure enough hostels, that will be able to accommodate DUCE students both 1st year ,Second Year and Third year students

DARUSO-DUCE  tunawashukuru nakuwapongeza wale ambao waliweza kufanya booking ya sehemu za kukaa kwa ajiri yao na ndugu zao wa mwaka wakwanza, aidha sehemu zingine tulizoweza kufikia wamesema wamefunga hostel kwani wanafunzi wemekuwa wakidharau watu mitaani na kumpuuza mwenye nyumba. (tunaomba tafadhari tuwaheshimu kwani heshima nkitu cha bureee kabisa)

Tulijaribu kuongea nawamiliki wa nyumba kuhusu bei ambapo ni 35,40,45 hadi 55 kwa mwezi, tumehakikisha kuwa kunaulinzi na upatikanaji wa huduma kama umeme na maji ni rahisi.

Hostel nyingi zimeanzishwa ambapo ni kwa garama ya TSH 35 elfu kwa mwenzi ambapo maji bure umeme nmanunua wenyewe

ukifika DAR usiwaze wapi utakaa tutakupeleka hostel na utalipia kisha utakaa,Utafika ofisini kisha utapata maelekezo zaidi . Aidha tunaomba radhi kuwa hatujaweza kutafuta MAGETO (vyumba binafsi kwa sababu ya usumbufu uliojitokeza) lakini tunaye dalali mashuhuri anaweza kukusaidia , ntafute ntakuunganisha naye kuepuka matapeli.

Tunawakaribisha tena DUCE  tuendeleze taaluma yetu, kumbuka ,


 
NAFASI ZA WATU 24 ZIPO







0 comments:

Post a Comment