Saturday, 26 April 2014

DUCE KUSHUDIA MAAZIMISHO YA MUUNGANO WA TANZANIA





Leo tar 26/04/2014 hapa dar es salaam Katita maazimisho ya miaka hamsini( 50) ya muungano wa tanzania bara( tanganyika) na tanzania visiwani ( zanzibar) ambapo tangu mwaka 1964 nchi hizi mbili ziliungana na muungano wake ukadumu leo wameazimisha miaka 50 ya muungano huo.
katika uwanja wa uhuru hapa jijini dar es salaam RAISI WA MUUNGANO WA TANZANIAakiwa kama mgeni rasimi wa maazimisho hayo.
aidha serikali imeweza kuonesha mbinu mbalimbali za kivita na huku wakifanya kwa vitendo hapo uwanjani , nimeshuhudia matukio  na vifaa mbalimbali.

0 comments:

Post a Comment