Saturday, 26 April 2014

ASHINDA KUWA KIONGOZI DARUSO-DUCE 2014/2015

ASHINDA KWA KISHINDO NA KUMUACHA MPINZANI WAKE KWA KURA NYINGI
Aidha akiripotiwa na mkurugenzi wa blog hii ndg Festo matongo amesema kuwa MH. au kwa jina lakisomi hon. Sevelin katoto amefurahishwa naushindi huo.
aliongeza kwakusema anawashukru saaana mabibi na mabwana waliojitokeza nakumpigia kura  mheshimiwa huyo anaahidi kutekeleza kazi iliyopo mbele yake.
Pia aliongeza kwakusema anashukru uwepo wa mpinzani kwani kajifunza kuwa siasa yataka uvumilivu DARUSO-DUCE

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment