Saturday 15 November 2014

ALIYEONGOZA KWA GPA YA 4.8 UDSM 2014 GRADUATION


Huyu ndiye mhitimu bora wa chuo kikuu cha UDSM mwaka 2014, anaitwa Doreen Kabuche ana miaka (22). Alitangazwa kuwa kinara wa ufaulu kwa kupata alama 'A' 32 na 'B+ '6 kati ya masomo 38 ya shahada ya Takwimu Bima (Actuarial Science). Kwa alama hizo Doreen Kabuche alipata wastani wa alama za ufaulu (GPA) 4.8 na kuacha alama 0.2 ili kufikia kiwango cha juu kabisa cha ufaulu wa alama 5.

0 comments:

Post a Comment