Leo tar 26/04/2014 hapa dar es salaam Katita maazimisho ya miaka
hamsini( 50) ya muungano wa tanzania bara( tanganyika) na tanzania
visiwani ( zanzibar) ambapo tangu mwaka 1964 nchi hizi mbili ziliungana
na muungano wake ukadumu leo wameazimisha miaka 50 ya muungano huo.
katika uwanja wa uhuru hapa jijini dar es salaam RAISI WA MUUNGANO WA TANZANIAakiwa kama mgeni rasimi wa maazimisho hayo.
aidha
serikali imeweza kuonesha mbinu mbalimbali za kivita na huku wakifanya
kwa vitendo hapo uwanjani , nimeshuhudia matukio na vifaa mbalimbali.
No comments:
Post a Comment